Uncategorized

Brentford, iliyorejea katika ligi hiyo baada ya miaka 74 iliishabanga Arsenal mabao 2-1.

Bw Kagame mara kwa mara huangazia Gunners – klabu ambayo serikali yake ilifadhili.

Baada ya mechi hiyo aliandika katika mtandao wake wa Twitter: “Hatupaswi tu kutoa udhuru au Kukubali upuzi. Timu lazima iiundwe kwa lengo la kushinda kushinda na kushinda.”

Katika ujumbe mwingine alitaka wawe na “mpango utakaozaa matunda” ma kulalamika kwamba “mashabiki hawahitaji kuzoea hali hii”.

Tanngu mwaka 2018, serikali ya Rwanda imekuwa na makubaliano ya udhamini yenye utata ya thamani ya zaidi ya pauni milioni 30 ($ 42m), ambayo inajumuisha nembo ya “Tembelea Rwanda” inaoonyeshwa kwenye mikono ya fulana ya Arsenal.
Wakosoaji wamesema ni mfano wa kiongozi wa kimabavu wa nchi masikini, ya Kiafrika inayofadhili kilabu tajiri cha mpira. Lakini serikali ya Rwanda inasema udhamini huo zaidi ya unajilipa kupitia mapato ya utalii.

NO COMMENTS

You must be logged in to post a comment Login

Leave a Reply

Most Popular Article

To Top